Wakala wa kampuni za ndege anayeongoza Ulaya, AVIAV TM (Cofrance SARL), anatoa bidhaa ya kipekee: programu ya AVIA Charter. Programu inamwezesha mtu kukata tiketi ya ndege binafsi wakati wowote bila ya kuzungumza na meneja.

Kwa sasa Kukodi ndege binafsi kunahitajika miongoni mwa wafanyabiashara ambao wanahitaji utulivu wa hali ya juu na huduma binafsi katika ndege. Programu ya Avia Charter ni rahisi kuipakua kutoka kwenye tovuti ya AVIA APP na inamwezesha mtu kuchagua aina ya wa ndege, kuweka kiwango cha utulivu na chagua kiwango cha bei. Programu inaonyesha kundi zima la ndege binafsi zinazopatikana duniani pamoja na picha na maelezo ya kina yatayomwezesha mtu kufanya chaguo sahihi.

Mtu anaweza kuchagua kutoka kwenye chaguo linalofaa katika vigezo vingi. Katika programu ya Avia Charter, mtu anaweza kupanga njia wanayohitaji na kuziona ndege zote zilizopo na maeneo ziendako. Amini kwamba, mtu hataelekezwa vibaya ili afanye uchaguzi wa ndege za gharama ya juu au kupanda ndege isiyo na utulivu wa kutosha.

Ndege, aina zote mpya zenye ubora wa juu za kampuni zinazoongoza kwa utengenezaji wa ndege duniani zimejumuishwa: Bombardier, Embraer, Sukhoi Superjet, Pilatus, Fokker, Saab, Cessna, Dassault Aviation, Gulfstream, Beechcraft na nyingine nyingi. Katika mbofyo mmoja tu, mtu anaweza kutathmini na kulinganisha uainishaji wa kiufundi uwekaji wa vyumba wa kila ndege.

Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali jisikie huru kuwasiliana na mtaalamu wa AVIAV TM!

Ikiwa mtu hawezi kuchagua kati ya machaguo yaliyopo, basi awasiliane na meneja wa AVIAV TM (Cofrance SARL) moja kwa moja kwa simu au kwa kutumia tovuti. Wataalam wetu watakupatia ushauri madhubuti na kukushauri ndege ya biashara ambayo inatimiza matakwa yako yote.

Programuyetu ya kukodisha ndege binafsi na wafanyakazi ina sehemu ya gumzo mtandaoni ambako mtu anaweza kuuliza maswali na kupata maelezo kutoka kwa wataalam kabla ya kununua tiketi ya ndege. Meneja wa AVIAV TM (Cofrance SARL) anapatikana 24/7 na yuko tayari kushughulikia matakwa ya wateja.

Kama inafaa, pamoja na kununua tiketi ya ndege, mtu anaweza kuagiza usafiri wa wanja wa ndege, kupata viza, kuagiza mwongozo au mapokezi ya uwanja wa ndege, kupanga hoteli ya kufikia na kuagiza chakula cha mchana kwenye ndege kutoka kwenye mgahawa unaopenda. AVIAV TM (Cofrance SARL) itatoa usaidizi na huduma mbalimbali za usafiri.

Programu ya AVIA Charter: Rahisi, yenye manufaa na fanisi!

Pakua programu ya AVIA APP kutoka kwenye tovuti ya AVIA APP na ununue tiketi ya ndege binafsi popote, wakati wowote. Bila shaka, ni vizuri kuweka nafasi mapema. Hata hivyo, panapokuwa na dharura, bado inawezekana kfanya markebisho mapema saa tatu kabla ya kingia kwenye ndege.

Mtu anaweza kuweka nafasi ya ndege ya biashara ya muelkeo wowote kwa ndege ya moja kwa moja. Ukodishaji wa ndege wa AVIA hutoa machaguo mbadala ya kubana matumizi kwa kunganisha ndege pia. Katika mazingira fulani, machaguo ambayo wateja watayachagua hayapatikani. Mfano mmojawapo utakuwa pale panapokosekana wanja wa ndege wa kimataifa katika eneo uendelo. Kufanya ununuzi wa tiketi ya ndege utatakiwa kutaja sehem nayoondokea na sehem nayoenda, idadi ya abiria, vilevile tarehe nayotarajia kondoka. Inapohitajika, mtu anaweza kujumuisha wastani wa zito wa mizigo hali kadhalika bajeti zao. Mfumo rahisi wa kuchuja utamsaidia mtu kuchagua chaguo analolitaka kulingana na vigezo mbalimbali.

Inasadikika kwamba kukodi ndege binafsi inakupa utulivu na huduma ya hali ya juu. Hata hivyo, ikiwa unataka kuokoa pesa au, kinyume chake, tafuta chaguo la kifahari, ni vizuri kuwasiliana na meneja AVIAV TM (Cofrance SARL) mara moja. Mtu halazimishwi kuingia mkataba. Hata hivyo, kuhusisha msaada wa mtaalam huokoa muda ambao mtu angeweza kuutumia kutafiti.

Programu ya AVIA Charter, programu ya mtandaoni ya kukodi ndege binafsi na wafanyakazi, ni ubunifu wa kipekee wa huduma ambao humruhusu mtu kuweka nafasi ya ndege ya chaguo lake mtandaoni. Mchakato huo ni rahisi, unaofaa na fanisi na una msaada wa wataalamu unapatikana wakati wowote. Biashara ya usafiri wa anga sasa umeboreshwa. Kikamilifu, AVIVA TM (Cofrance SARL) inachukua tahadhali kubwa katika kuwapatia wateja wake huduma bora zaidi.